Mabusu kupigana vyama tusipende Ili tusiambukizane tujikinge Mpaka gonjwa hili lipite Tuombe Mungu atunusuru kwa hili
Tusichukulie tu poa poa Corona gonjwa hatari
Watu wanakwisha Nchi zote duniani
Tusichukulie tu poa poa Corona gonjwa hatari Watu wanakwisha Nchi zote duniani
Na serikali inatupenda Ndio maana wamezifunga shule Mikutano ya kisiasa yote wameitupa kule Na matamasha wasanii hakuna kule Wangeruhusu yaani ingekuwa sawasawa na bure
Tunawe mikono kwa maji safi salama Sanitizer nyumbani no kukosekana Salamu mbali mbali no Kugusana Aaaa aaah...