Mrefu mfupi mwembamba kidogo Yaani bonge la modo Michezo ya kocha kurushaga gololi Kuzama kwa kitobo Akili yo kaichanaganya kwa vanga na segelea mi chumbani
Ni vilio akisakanya sauti kama katekenywa Chiini kwa kina vako dagama Najigongagonga hayaya Visenti vyangu vidogo vyangama Iye nitakahonga honga Tuchanganye vyetu vya asi n achanya Raha tukiponda ponda Takuleta tuishi dar es salaam Jiji la makondakonda
Hangover, nimelewalewa Hangover, mi kabisa nayumba Hangover, nimelewalewa Hangover, napepesuka natamba Hangover, nimelewalewa Hangover, mi kabisa nayumba Hangover, nimelewalewa Hangover, napepesuka natamba
Hajui, naona gere akisimama na wana Hajui, naona gere macho tukitazamana Hajui, naona gere mimi ananichanganya Hajui, naona gere akisimama na wana Hajui, naona gere macho tukitazamana Hajui, naona gere mimi ananichanganya
Shika, mtoto unavyonishika mmmh Chinja misamba inanimaliza mmmh Mchale Mchale Mchale, waambie Mchale Mchale Mchale Mchale Mchale waeleze Moyo wangu bear imeshika vizuri na kizaizai Mtoto flani ukisusa nabeba Moto yani hata niwe kibega Kukukakara nipo natega Mmm chale ongeza katamu kale Chale sogeza kwekeche pale
Ooh mama hangover Nimelewalewa hangover Napepeseka natamba
Hangover, nimelewalewa Hangover, mi kabisa nayumba Hajui, naona gere akisimama na wana Hajui, naona gere macho tukitazamana Hajui, naona gere mimi ananichanganya Hajui, naona gere akisimama na wana Hajui, naona gere macho tukitazamana Hajui, naona gere mimi ananichanganya
Hangover, nimelewalewa Hangover, mi kabisa nayumba Hangover, nimelewalewa Hangover, mikabisa nayumba
Mmm chale ongeza katamu kale Chale sogeza kwekeche pale