Ona wale banduku wanahanya hanya Kule vyama pinzani
Umelipata jembe Limefukia mashimo yote jamani Wanatetemeka Magufuli hanaga upinzani
Tena, habagui kabila Jinsia wala dini Wote sawa Wale matajiri na sisi masikini
Kajenga na barabara za chini na juu Kama zote Usafiri wa mabawa wa Tanzania Safiri kokote
Sasa huduma za afya vijijini kibao Kibao kibao Kaongeza na madarasa na waalimu kibao Kibao kibao
Magufuli kweli chata wenye chuki kivyao Kivyao kivyao Mafisadi wamechacha we ndo kiboko yao Yao
Wakikutia doa tutakusafisha Magu(Haya haya) Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya) Wakikutia doa tutakusafisha Magu(Haya haya) Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya)
Kwanza wenye vyeti feki Umewapanguza aheee Kwenye kazi hucheki
Unakunja ndita
Wakina mama umewapiga jeki Kwa kuwawezesha Wenye midogo mitaji Ushuru umefuta
Umejenga reli ooh Standard gauge mwendo kasi Daraja la ferry ooh Bandari zetu mambo safi
Nani nani nani eeh Asiyekupenda Magu eeh Kweli kazi uliofanya Umefanya uchumi upande kasi eeh
Magu Magufuli eeh
Asiyekupenda ni nani baba Hapa kazi tu Tanzania ije kuwa kama mbele
Sasa huduma za afya vijijini kibao Kibao kibao Kaongeza na madarasa na waalimu kibao Kibao kibao
Magufuli kweli chata wenye chuki kivyao Kivyao kivyao Mafisadi wamechacha we ndo kiboko yao Yao
Wakikutia doa tutakusafisha Magu(Haya haya) Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya) Wakikutia doa tutakusafisha Magufuli(Haya haya) Wenye chuki na wewe watapata taabu(Haya haya)