Ulidumisha Uhuru Upendo na mshikamano Ukweli na uwazi Daima Hatuezi kukudhuru Limetimia agano Alama ulilowacha kubwa sanaar Watanzania tutakukumbuka Daima
Mmmhhhh Kama ndoto ghafla umetuacha Umetangulia na sisi tumekuacha Pumzika Salama Salama Salama salama Salama Salimini
Siwezi kumaliza sifa zako kwa Dunia Tanzania litakumisi Umewaacha wapweke
Na Magufuli wanakulilia Kama ndoto ghafla umetuacha
Umetutangulia na ukatuacha Pumzika Salama salama Salimini My life my purpose Ni funzo la Kitabu Chako My life my purpose Ni urithi kutoka kwako