Kwako  nimetulia kama maji kwa mtungi Napata raha
Vile wanipatia kitenesi sidungi Nimenywea
Unanipa burudani tam tam Sijivungi kukusifia Penzi lako limejaa masham sham Moyo haudungi umetulia
Na hivi leo ndo Valentine day Onyesha mapenzi yako yote kwangu baby Unapotaka niambie twende Leo siku ya wapendanao usikonde
Basi baby we nishow, love love Na mimi nikushow, love love (Tuonyeshane mapenzi) Baby we nishow, love love Na mimi nikushow, love love
(Tuonyeshane mapenzi)
Vimaua ua ndo siku yake leo baby Siwezi kujichetua nikuchanganye mi sipendi Nimependa ua na boga lake vyote baby Vizuri unanijua kwako beki hazikabi
Nguo sare sare tukivaa tupendeze Za rangi nyekundu na makopa niwagize Siku ya leo we na mimi tuwe busy Kusherekea malavida
Na hivi leo ndo Valentine day Onyesha mapenzi yako yote kwangu baby Unapotaka niambie twende Leo siku ya wapendanao usikonde
Basi baby we nishow, love love
Na mimi nikushow, love love (Tuonyeshane mapenzi) Baby we nishow, love love Na mimi nikushow, love love (Tuonyeshane mapenzi)
I love you forever moyo ujaze huba Anayekupenda sana anavumilia shida Wanasema penzi pesa huo ni uongo Mi ni mwili we ni uti wa mgongo
Toka tumejuana miaka mingi sana Mpaka leo tunakaribia kufanana
Najua we wa kwangu peke yangu Duniani ahera ni mimi, bado ya Mungu Mwaga makopa kopa, mahaba kama yote Wenye chuki wabaki na chuki zao
Tuwashangae wanaachana siku ya wapendanao
Na hivi leo ndo Valentine day Onyesha mapenzi yako yote kwangu baby Unapotaka niambie twende Leo siku ya wapendanao usikonde
Basi baby we nishow, love love Na mimi nikushow, love love (Tuonyeshane mapenzi) Baby we nishow, love love Na mimi nikushow, love love (Tuonyeshane mapenzi)