Asante, asante Asante Baba we Baba Asante, asante Asante Baba we Baba
Nasema asante asante Thank you God (Thank you God) We Baba
Walichomoa betri moto ukalipuka Idadi kubwa mauti yaliwakuta Mimi ni nani? Ah ah ni nani aah
MV Nyerere watu hawakuvuka Walizama mwisho ukawafika Sisi ni nani? Mmmh Aah ni nani?
Kesho yetu hatuijui Tusiache kutubu na kumwabudu ye Mwabudu ye
Kesho yetu hatuijui Tusiache kutubu na kumwabudu ye
Mwabudu ye
Hukutaka niteketee Ukanivusha niendelee Wewe ni wa pekee nini nikupe eeh Aah kitushe eeh Kwa wazazi kwa mafans marafiki Ulifanya wasilie eeh eh eeeh...
Asante, asante Asante Baba we Baba Asante, asante Asante Baba we Baba
Nasema asante asante Thank you God Mmmh we Baba
Hata umiliki pesa mali Toka msingi sekondari Anatulinda mpaka uzee Na hahitaji chochote