You remind machungu niliyopitia kwake Miiba ya mapenzi sio mahala pake Hizo vikuku na makope kama ye Usinivideo call please I swear you look like her
I wish kama hungekuwa hujafanana naye Sitaki kummiss maana mwisho haukuwa mzuri naye I wish kama hungekuwa hujafanana naye Sitaki kummiss mi maana sina mpango naye
Sometimes I don´t believe nilimpenda Sometimes I don´t believe alikwenda Sometimes I don´t believe nilimpenda Sometimes I don´t believe nilimpenda
Umefanana naye, sura mwendo dimples Umefanana naye, sura mwendo unge Umefanana naye, sura mwendo dimples
Umefanana naye, sura mwendo
Sifa zote umetimiza wanipendeza Huko nyuma niliyempoteza sikumweza Malipo ya kumbembeleza ilikuwa gereza Vita mwana kumdekeza akanipoteza
Hmm siwezi kurudisha siku nyuma(Hapana) Ndoto zetu nyingi zilizima(Mchana)
Atleast ingekuwa white ingekuwa white Alisha niforce nimpost na nimtake Uongo ukizidi mapenzi ukweli uwake Alikubali walafi chini ya laki na walilala naye
I wish kama hungekuwa hujafanana naye Sitaki kummiss maana mwisho haukuwa mzuri naye I wish kama hungekuwa hujafanana naye