Nilijua utanifaa Maisha yangu yote mi nilikupa Umevunja moyo mpaka mifupa Ulichokifanya mwenzako najuta (Eeeh..)
Nilikupenda sana nikakuweka moyoni Mengi uliyofanya nikajifanya siyaoni Kurudi late na mitungi kichwani Kila siku visa tu na visirani
Mepenzi ya utumwa siyawezi acha mi niende zangu Nilichofunzwa mapenzi sio kupiga mwenzangu Onyesha wivu wa mapenzi kwa mwenzio Kama unampenda kweli
We unampenda ya hakupendi Hiyo ndo mbaya Akijifanya anakupenda sana Hiyo ndo mbaya
Kumbe mwenzako anakudanganya Hiyo ndo mbaya Alafu moyo utauma sana
Hiyo ndo mbaya Mwisho wa siku mkibwagana Hiyo ndo mbaya hiyo
Ah Tamimu hapa nikiwa na Ben Pol We meneja Sakio, weka
Katikati nione vumbi, bado sijaona Mwendo wa shisha na tungi, bado sijaona Wanangu huwa hatujivungi, bado sijaona Tumepagawa hatuyumbi, bado sijaona
Ua langu vipi? (Eeeh) Ua langu vipi? (Waaah) Tafuta wa kucheza naye Pandisha ibilisi
Ua langu vipi? (Eeeh)
Ua langu vipi? (Poa) Tafuta wa kucheza naye Pandisha ibilisi
Aya timua vumbi timua, timua Timua timua timua, timua Aya timua vumbi timua, timua Katikati timua, timua
Weka mikono juu wote zungusha dadeki Kama una kichuguu waonyeshe ukipiga deki Ongeza vibe washa moto, washa moto Hili goma si la kitoto, si la kitoto Pita chocho kwa chocho, chocho kwa chocho Na tukawashe moto, tukawashe moto
Waonyeshe ulivyopagawa Akikushika ndo balaa
Kama una mbinu za mida Komesha wanaume wadau
Mtu mzima najiweza Cheki navyoteleza Ngoma naipiga mwenyewe So siogopi kuicheza
Kajalewa anayumba Ndo zake dunga dunga Kuvizia wachumba Dawa zake zimedunda