Unajua we ndo dawa Mwenzako nikiugua Kukukosa nachachawa Bila shaka unajua
Tena kwako mimi si chochote Sisikii sioni, sijiwezi kwa lolote Maneno ya nje tusije yapa mwanya Oooh my love, fikisha kipimo usijeyagawanya Oooh my love, heshima upendo na kudhaminiana Oooh my love, tufike malengo tukishirikiana
Penzi lako utamu wa asali, baby nipe Nikabidhi nipe kibali, kwa mbwembwe ni tamu