Ooooh mama Mama ninakupenda mama Mama ninakuheshimu mama Mama ninakupenda mama Mama ninakuheshimu mama
Miezi tisa eee ee Mbumbumbu sijui lolote Ila mama Wewe waniongelesha
Miezi tisa eee ee Tumboni sijui lolote Ila mama Kabisa uliningojea
Ukashona na sare Kusubiri nianze shule Wakasema chizi yule Si angengoja akuwe
Eeh, mama siwezi kukulipa mimi Uliyonipa hayanunuliki
Upendo wako mi sitosheki Jembe jembe mama nakukubali wewe
Ooooh mama Mama ninakupenda mama Mama ninakuheshimu mama Mama ninakupenda mama Mama ninakuheshimu mama
Aah aah, ukitoa Mungu Mbunge ni wewe ni wewe ni wewe Waziri ni wewe ni wewe ni wewe Rais ni wewe ni wewe ni wewe mama Kila kitu ni wewe ni wewe ni wewe
Aah, nitanunua na kanga zenye maneno mazuri uone Aaah tena nitazichanga na sarafu nikupe uchune Aah, nitanunua na Kanga zenye maneno mazuri uone
Aaah tena nikizichanga nitakupa na noti uone eeh mama
Sijasahau sadaka zako kutoka moyoni Uliponipa wakati mama yangu hauna Sijasahau sadaka zako kutoka moyoni mama Uliponipa mama wakati wewe hauna
Tena kama ukiina mama, jua ninakuthamini Na moyoni mwangu nimekuweka mama Tena nikiina mama, jua ninakuthamini Na moyoni mwangu nimekuweka mama