Kila siku ninapoamka Ninapoianza siku mpya Namshukuru Mola kwa kunilinda Nafasi nyingine nikapewa Labda nikijituma Na mi iko siku ataniletea Na mi niwe na vyangu niepuke ya walimwenguu
Kukicha ni maneno maneno Wenzangu hamuishi kusema Na mi sijali yenu maneno Mwanadamu amezaliwa anasema
Kukicha ni maneno maneno Wenzangu hamuishi kusema Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema Eeh eeh eeeh oooh
kukosa kitu leo sio tatizo nikitafuta nitapata kesho naamini Nami ataniletea pamoja na magumu ninayopitia kukosa kitu kwangu sio tatizo nikitafuta nitapasta kesho naamini Nami ataniletea pamoja na magumu ninayopitia.
eeeeh eeh hawajui kuhisi kwa upendo ama ninafuraha Siku zote maisha yetu ni uadui tu hatujui dunia tunayopita tu
na kwenye maisha kuna kuanguka ila mi sitachoka nitainuka mpaka siku itakapofika ndoto zangu zote kukamilika
na kwenye maisha kuna kuanguka ila mi sitachoka nitainuka mpaka siku itakapofika ndoto zangu zote kukamilika
mmmh kukicha ni maneno maneno Wenzangu hamuishi kusema Na mi sijali yenu maneno Mwanadamu amezaliwa anasema
Kukicha ni maneno maneno Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno Mwanadamu amezaliwa anasema Eeh eeh eeeh oooh
kukosa kitu leo sio tatizo nikitafuta nitapata kesho naamini nami ataniletea pamoja na magumu ninayopitia kukosa kitu kwangu sio tatizo nikitafuta nitapata kesho naamini nami ataniletea pamoja na magumu ninayopitia