sio siri mamaa, nilikujali sana na kujiheshimu, nilijua kwamba Mungu akipenda ntakuwa nawe,
usizani kwamba nilikusudia kutengana nawe,
mi sijui hapa nilipo saa hii nimefika vipi,
alivyoniingia (sikumbuki) akanizoea (sikumbuki) moyo akanipa na wangu nkautua
alivyoniingia (sikumbuki) akanizoea (sikumbuki) moyo akanipa na wangu nkautua
ningefanyaje na we haukua karibu na mimi lakini ye ndie alikua ananijali mm ntafanyaje na ye yupo tayari kuishi mm lakini wee ndie tulizo la moyo wangu
sio siri baba nilikupenda sana na kukuthamini nikiamini kwamba Mungu akipenda ntakua wako,
mi najua kwamba umekusudia kutengana nami na mi sijui hapa tulipo ooh ooh tunatoka vipi
alivyoniingia (sikumbuki) akanizoea (sikumbuki) moyo akanipa na wangu nkautua
alivyoniingia (sikumbuki) akanizoea (sikumbuki) moyo akanipa na wangu nkautua
ningefanyaje na we haukua karibu na mimi lakini ye ndie alikua ananijali mm ntafanyaje na ye yu tayari kuishi mm lakini wee ndie tulizo la moyo wangu
ningefanyaje na we haukua karibu na mimi
lakini ye ndie alikua ananijali mm ntafanyaje na ye yu tayari kuishi mm lakini wee ndie tulizo la moyo wangu