Sikukuu imefika eeh Mwaka mpya unafika eeeh Upite salama baba eeh Sote sote tuwe salama Baba ooh mwana ma
Christmas imefika eeh Mwaka mpya umefika eeeh Ufike salama eeh Upite salama baba Umalizike salama Baba ooh mwana ma
Tuombee Mungu wa kina baba na mama eeh Tuombee Mungu wa kina kaka na kina dada eeh Hata wapenzi wa nyimbo zetu baba Wapenzi wa burudani eeeh mwana mama Tuwe salama salimini eeh, tuwe salama eeh Salama mwana mama
Kuna wengine sasa wako hosipitali Kuna wengine tena wameshakufa ooh Kuna wengine tena wako kifungoni
Waliobaki oooh baba oooh Waliobaki, saidia masikini baba oooh Saidia masikini baba eeh Eeeh mwana mama
Kuna wengine sasa wako hosipitali Kuna wengine tena wameshakufa ooh Kuna wengine tena wako kifungoni Waliobaki oooh baba oooh Waliobaki, saidia masikini baba oooh Saidia masikini baba eeh Oooh mwana mama
Ala wewe uliye mzima mshukuru Mungu Kumaliza mwaka siku hizi ni jasho ooh baba Kifo cha sasa kama maji Yatokapo yaendapo hayajulikani Oooh Mwana mama oooh
Tuombee Mungu daima mama
Miaka yaenda mbio mwana mama Siku zaenda mbio twende wapi? Miaka yaenda mbio mama Siku zaenda mbio mwana mama
Miaka yaenda mbio mama Siku zaenda mbio mwana mama Usile ya kumaliza mwana mama Kwani kesho kutwa sikukuu sikukuu
Miaka yaenda mbio mama Siku zaenda mbio mwana mama Miaka yaenda mbio mama Siku zaenda mbio mwana mama
Usile ya kumaliza mwana baba
Weka kidogo ya sikukuu, ya sikukuu Miaka yaenda mbio mama Siku zaenda mbio mwana mama
Miaka yaenda mbio mama Siku zaenda mbio mwana mama