aaah ahhh aaahh uuh baby nifuraha mi nawe twaendana uuh baby nifuraha tuishi wote daima
uuh baby ni furaha mi nawe twaendana
uuh baby nifuraha nakushaka naneee eeeeh eeehh nanee eeeh eeh siku nyingi nimetafuta nikaimba nikikupata niliamini siku moja nitakutana nawe nami namshukuru mola kwa kunipa binti mmoja mwaminifu mwenye sifa si mwingine niwe nami namshukuru mola kwa kuniletea mke mzuri mwenye sifa nimezunguka kote hakuna kama we
walimwengu kazi yao kuvuruga ya wenzao watataka kututenganisha usiwajali we ndo wa maisha leo namshukuru mola kwa kunipa binti moja mwaminifu tena mwenye sifa simwingine niwe leo namshukuru mola kwakuniletea mke mzuri mwenye sifa nimezunguka kote hakuna kama weee