Ndugu zangu napata malipo ya usariti Yakupendwa lakini nikawa sipendeki Sikujua machungu makali kiasi hiki Hii dozi inatibu vilivyi me sitaki Whoaaa amenifanya nawaza
Wangapi niliowatenda Kila nikikumbuka najiona mshamba Nguvu zinaniisha siwezi hata kusimama Kinacho nisikitisha nastahili hayaa
Nguvu zinaniisha Siwezi hata kusimama Kinacho nisikitisha Nastahili hayaa Nguvu zinaniisha Siwezi hata kusimama Kinacho nisikitisha Nastahili hayaa
Ona hayaniishi mawazo (aaaaaah) Nyingi zinajirudia (aaaaah) Penzi lake ndo chanzo (aaaaaah)
Mmmmh Malipo ni duniani Ahela kuhesabiwaa Me nipo bado lehanii Nimejitela mwana mkiwaa eeh Mmmh Zile heshima kuninyenyekea Nikamwona si chochote kwangu (Hahaa) Eti mazima nikampotezea Nilivyo maliza tu shida zangu (Hahaaa) Ukimuona mwambieni najiuguza najutia Tena najiona limbukeni
Yamenifunza ya dunia
Yale machozi yasiyo na hatia Yana nisubulubuu machozii (Mmmmh) Upweke najiinamia Nishatubu nisameehe