Habari mbaya zimenifikia Mandugu zangu wananikulia Kumbe sahani yangu ni sinia Na inaniuma sana Yule mpenzi niliaminia
Nikamueka mbele ya dunia I must be trippin nikikurudia Umenitesa sana.
Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana mama
Marashi yako yalinivutia
Siku ya kwanza ulipopitia Kumbe si mi pekee nilinusia Yolanda ya lavender
Na mbogi yangu iliniambia Eti nikusare but sikusikia I don´ wanna do this shit no more my dear Najuta kupendana
Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana mama
Gonga, gonga like Gonga, gonga like Gonga, gonga like Gonga, gonga like
Rieng, rada Siku hizi madame ni blanda Jana cuzo alimkaza He´s family, ah ah Get together kwa bed Hio story tumekataa Maboy wengine blanda Watakukulia mama Na wakuchekeshe sana
Madame madame, eh Madame wa siku hizi Wana machali wengi Nilichapa mmoja juzi Ikaingia ndani, dive
Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana mama