Mama amejibeba kama mbaru Akiinamaga lawama toja inararu Nikikuitisha utasema ni madharau But siwezi nunua mzinga ka bado sijaonja nyau Ziii!!!
Na inakaa bei yake iko juu Wengine huniita Scar ye tu ndo huniita kovu Nikiilola nabaki nimediste Hii ni mali nikigonga lazima nitaambia mabeshte
Wasichana wa Kisumu nawamarinate Wa Nakuru hawapendi ndoa wanamarinate Nairobi ni sumu imejaza malele Wa Mombasa si wagumu unaenda holiday
Baby una haga ya karau Uliniwow ukakill lola ooh Baby una haga ya karau Uliniwow ukakill lola ooh
So haga ni poa dem toka Naks mi nasema drop it lower
Rada rada chafu IÂŽm a dog bila collar Fika na form polisi mi naondoka Hapa ni moto manguo ye anatoa
Na vibe iko juu haga ni beautiful Price iko juu take over ka ni ya coup Mimi am just a goon , maliza na atadu She shake your body  for real Me I fit pia in the shors
Na imagine uko naked kwa macho Na stretchmarks 30 kwa tako Na thong oversize ni mbao Alcohol nirarue hadi kwa trao
Shida ni moja Alenjandro ni mmoja mtaongoja Shida ni moja
Alenjandro ni mmoja mtaongoja
Baby una haga ya karau Uliniwow ukakill lola ooh Baby una haga ya karau Uliniwow ukakill lola ooh
Baby una haga ya karau Uliniwow ukakill lola ooh Baby una haga ya karau Uliniwow ukakill lola ooh
Haga ya karao, haga ya karao Haga ya karao, haga ya karao Haga ya karao, haga ya karao