Conjestina female best boxer Fatuma, Zarika plan B umeichunga Waliwacha chempe yetu akikopa
Boxing ring hadi street chokorah
80K ni Joe Muchiri aliget 300K ni Club Covid iliget Jowie iza jela ulisuffer Sherlyn Onyango alikunywa wine kutoka haga
Aiyeya, Aiyeya RIP ulikuwa bazenga Huddah anadinyana ngoma za Omollo Malaya wewe usiseme huskizi Omollo Cyberbullying ni tabia ya mamono
Babu Owino, James Orengo Kartelo na Alenjandro Rachel Shebesh alipigwa kioo Na former governor Evans Kidero
Mlicheka ikapita na upepo
Mwache kutumia picha za Vera for punyeto Uko chini ya miaka kumi na nane Jimwat unaendelea aje?
Pilipili alinipea morare Abass Kubaff alikuwa akuwe Kanye Mafans imagine kuwa star Imagine kila time huwezi panda matuta
Imagine kila time wanakuomba tu chapaa Imagine kila time wanaongeza tu tamaa Samwel Wanjiru marathon runner Walikumada everyday and Snadra
Huyo dem alipatikana blunder Fans walianza story ya umama na ukahaba Denis de minis mtoi wa mama Oliech Shake superstrikers Denis Oliech
Tuko prep Edgar Obare ako kwa net Analeak, leakage kwa internet Ana expose mafisi na mafisilet
Lamba lolo, lamba lolo Kikundi bora mwaka iliopita Nyi manyoka saizi mnawatoa sifa Ethic watakuwa the next Justin Bierber
Easy kama Do Re Mi, Benzima Breeder Nyamba Ninuse Kartelo bado ni your ninja Nimechoka ufago mtakoma Inspekta Mwala bado ana tom** Mama Kayai nickname ya Gwashe
Cream ngwati 50K views Nyi ma pavert mnawatch tu
Octopizzo uliwachwa na mzungu Ndugu wacha jo kubuy views
Hizo ndo risto zinatamba kwa mtandao Utadhani mko Tac team na makarao Sekunde moja ushalike picha kama thao Fuck you niko high jo kama kwa plateau