Siri ya urembo ni make up, mmmmh ni make up Siri ya urembo ni make up, eh ni make up Si urembo ni make up, mmmmh ni make up Si urembo ni make up, eh ni make up
Hello Hello ni Maybelline Ni Alenjandro nitakusaidia aje Lynn Mlisema kutakuwa na offer juzi Ati mtafanya nikae kama Chungli Ati mtafanya nikae ka Italian wa Azuri Ati kuna venye eyelash zenyu ni mwavuli Ati pata pesa ndo utajua maana ya sabuni Usipake foundation ka ana vumbi
Kuna dem anachanga changa Anabuy make-up ya kupaka paka Kuku kuku manga manga Turi turi dara dara
Siri ya urembo ni make up, mmmmh ni make up Siri ya urembo ni make up, eh ni make up Si urembo ni make up, mmmmh ni make up Si urembo ni make up, eh ni make up
Siri yangu when I wake up, aii, I bake up Siri yake when she wake up, aii, ni make up uii Atoti mascara, lipstic imekaukia kwa sigara Crop-top umebuy ya past Ngara Swara swara mi nakwara
Aii dem hutoa maziwa na hakulangi nyasi Wasi wasi unaweza jua ka ana wasi wasi Ni karembo mpaka kanapiga mpaka nywele pasi Side chic ndo huwacha lipstic kwa shati, aaii
Siri ya urembo ni make up, mmmmh ni make up Siri ya urembo ni make up, eh ni make up Si urembo ni make up, mmmmh ni make up Si urembo ni make up, eh ni make up
Seti seti, seti hiyo turi Wilbroda
Seti seti, seti kigode na mafathela
Ni, niko na keys for the city Kingpin streets za hii city Tycoon mpaka Kariobangi Papa ju ya goro na manjiri
Nina madem huleta ushuru Madem mapoko uzia Uhuru Madem mapedi Buru Buru Madem masufferer kutoka Uthiru
(Hello I wish wondering if you could play tha song again) (Which one men? ´The one that goes...´)
Namdinya na G Bag ka ni wa Thika namdinya na njiva Namdinya ka FIFA akinikasirisha Namdinya kwa pipa namdinya kwa Nisan Ukinilipa nitamdinya kwa G class
Aiyayayaya nabonga venya nataka Hamwezi nikataza ka inakuumiza Kuna Daudi Kabaka ndo upate baraka Na ukiniuliza unapenda mahaga ya dem kahaba Na akikulisha utalazwa Kenyatta Ushonwe viraka aiyayaayya
Ezekiel Mutua naskia mtoi wako anaskiza Gengetone Ezekiel Mutua naskia bibi yako anapenda Gengetone Mahater mahater ni wengi nawatahiri leo na machete Hao bitch - kwa gazeti, headline news telly
But leo sikam harusi nakam na bakuli imejaa matusi Nawamada ka HIVirusi mnatupangia sisi harusi
Wajinga wajinga, wajinga nyinyi Wajinga wajinga, mutuwache sisi Wajinga wajinga, wajinga nyinyi Wajinga wajinga, mutuwache sisi