Yeah skiza! Mi kama brathe niko na siste Mshike nitakutolea toa ya rithe
Ushai kunywa panadol after kibare Mwenye ulibaka anaitwa Mbaire
Usijiforce kwa mwanamke Ju mwanamke ni mama yako Na bibi yako ni mali yako Chunga mali yako funga padlock kwa matak
Alenjadro, Murasta We ndo queen hakuna matata Story yako yenye ulituleta hapa Walikubaka pole sana (Asanti)
Moyoni nina uchungu hasira Mbona mnabaka wadada Moyoni nina uchungu hasira Na sisi jamii imedharau
Moyoni sina raha, sina raha Sina raha ah ah ah aaah Moyoni sina raha, sina raha Sina raha ah ah ah aaah
So sad na hii kesi ninajam tu Ignorance ni ka society imefyatu Ka unaeza dare fanya rape bila kucare Heshima ya mama yako alredy ishatokomea
Mi naona execution ndio solution ama jea Kusundwa jela ni siku za mwizi tunaongezea Brutaly ukashika Mwikali Ukashika Valerie na ukashika Natalie
Ukashika Nyambane na ukashika Mwane Uka shika pia ule boy OG ana janje Nishakuwa falsely accused kwanza na fala
Motherfucker, brotherfucker, fatherfucker
Moyoni nina uchungu hasira Mbona mnabaka wadada Moyoni nina uchungu hasira Na sisi jamii imedharau
Moyoni sina raha, sina raha Sina raha ah ah ah aaah Moyoni sina raha, sina raha Sina raha ah ah ah aaah
Hata mbuzi ni mwerevu kushinda rapist Be the voice, be the noise Yaani kuwa na sauti pahali hakuna sauti Nimekuja na mishale mi narusha Na nimekuja kuhakikisha nimewaua Na mi ndo yule manzi nakuwanga nimejiskia
Mi nataka victims wote wasimame Tumia sauti yako tumalize hii ukame Gathee gathee usinitoe pantie Brathe brathe heshimu huyo auntie Brathe unahitaji pussy permit Paka permit yaani uingize ndani