Ati pepeta, pepeta pewa chupa mbili Pepeta, pepeta pewa chupa mbili Mi hupenda unakatika na unavalia nini? Mi hupenda unakatika ka umevalia mini
Pepeta, pepeta pewa chupa mbili Pepeta, pepeta pewa chupa mbili Mi hupenda unakatika na unavalia nini? Mi hupenda unakatika ka umevalia mini
Tukikata si husafishanga Bleki ni bahati mbaya Mbleina akipatikana Ni mabare jo kwa kipara
Ati kam na mini tight, nikuone tonight Hadi jo ma neiba hufeel ni ka umeficha white Sitembeagi ba bike, sitembeagi na ndae Na uko maji maji naona niingizage bite
Mi ni ka sinister ghetto bana minister Mimi na Beenie man, naona tuko similar Na hadi jo nauliza ni nani hajai Fuliza
Haga jo umefurisha pole mi ni hooligan
Pepeta, pepeta pewa chupa mbili Pepeta, pepeta pewa chupa mbili Mi hupenda unakatika na unavalia nini? Mi hupenda unakatika ka umevalia mini
Pepeta, pepeta pewa chupa mbili Pepeta, pepeta pewa chupa mbili Mi hupenda unakatika na unavalia nini? Mi hupenda unakatika ka umevalia mini
[Benzema] Skiza, niliingiza kavu ikawa personal Nikamwaga ndani ikawa personal Nikainyambisha ikawa personal Nikanyoa fudhi ikawa personal
Wanasema darker the berry leta makaa Wanasema ku** iko ready twende Machaa Leo ni makelele ya baruti na kaka Uuu lala, uuu twa twa
Alenjandro how are you my boy I am okey I came with a toy Which kind of toy a sex toy BBC toy
Pepeta, pepeta pewa chupa mbili Pepeta, pepeta pewa chupa mbili Mi hupenda unakatika na unavalia nini? Mi hupenda unakatika ka umevalia mini
Pepeta, pepeta pewa chupa mbili Pepeta, pepeta pewa chupa mbili Mi hupenda unakatika na unavalia nini?
Mi hupenda unakatika ka umevalia mini