Halima ooh beiby Ni binti wa nyika nyika Namwita kisura ooh beiby Mwanamke mtafutaji
Halima mama, maisha yake yanatia huruma Baba na mama yake wote ni vilema Hawana elimu, hawana ujuzi, kifupi hawajasoma Uwaheshimu wazazi wako ata kama vilema Mie namsifu Halima, hajawahi rudi nyuma
Halima ye ndo atafute, alete nyumbani apike Awalishe wadogo zake, vilema kamwe mamake Muda mwingine analia namkufuru Mungu Eti kwa nini amezaliwa? Nami inanihuzunisha inanipa uchungu
Halima mama wazazi wake wote ni vilema(Halima) Halima mama wazazi wake wote ni vilema(Halima) Kutwa kucha pilika mtunze baba(Halima) Kutwa kucha pilika mtunze mama(Halima) Ukimkuta amekaa jua anawaza(Halima) Halima pole mama kusaga rhumba
Halima doh(Doh doh), mami sina doh Ningekuwa na pesa ningekuwezesha Akipata wachumba wanamkimbia Halima(Halima Roza) Wengine wanasema labda ni laana Hee, muda mwingine anafanya kazi anadhulumiwa Anatamani angekuwa na kaka anamsaidia
Amechoka maisha yake, mara abakwe azalilishwe Akitazama familia yake, bila yeye si chochote(Halima Roza) Ipo siku kwenye jua itanyesha mvua (Halima Roza) Usichoke usiogope ongeza nia(Halima Roza)
Halima ye ndo atafute, alete nyumbani apike Awalishe wadogo zake, vilema kamwe mamake Muda mwingine analia namkufuru Mungu Eti kwa nini amezaliwa?
Nami inanihuzunisha inanipa uchungu