Asa hivi kila kona stori za Kajala Mara mbula kajala mambo dala dala Wamesahau wengine tuna mfungo Kazi yao ni kurushana madongo
Hivi tunakwenda wapi wasanii wa Bongo Kuna mwingine katongoza mtoto kala Mara penzi likanoga Wakajisahau kidogo, zikavuja picha Mama anamiliki ba mdogo Konde Konde akaanzisha timbwili Mgogoro, afungwe Vanny Afungwe (Mgogoro) Tulikomeshe tabia hii (Mgogoro)
Niliposikia nami nikasema Sababu ana mtoto wa kike Na anaitazama kesho yake Kwa uchungu sababu ye ni mzazi eeh
Kumbe ana tamaa Aliamini anafaidi mwenzake Akataka vyote vyote viwe vyake Bila kujali yule ni mama na mtoto wake
Oooh Kibo wametuvua nguo wanaume Aibu ameonyesha na maproso Zimevuja picha Youtube na Insta Nimeogopa mpaka moyo ukadunda du du
Kwa mambo ya kikuu kuu kuu Frida Kajala tumia busara mambo yaishee
Acha yapite Vanny Boy chuki haifai nadhani sasa muelewane Sasa hivi tufanye mziki Mbishane kwa verse na beat Tuacha uzamani huo kutupiana maneno Tufanye yamekwisha