Funga mkanda tucheze kwa mbwembe Shusha nanga meli iende Nionyeshe show za mwakinywa Vandame Mpaka jua lizame Washa redio, radio
Washa washa redio, radio washa
Songea kati bana nana Sweet baby o We ndo unanichanganya Nikikuona napona
Ulivyo umbika mwekundu nyanya Mafala unawakalisha kona Eeh kwako hoi nimedada ndi ndi ndi Nimeweka kigingi Sijiwezi pimbimbi Mtoto usopenda shilingi Na ukigoli goli Mama tekenya tekenya
Funga mkanda tucheze kwa mbwembe Shusha nanga meli iende
Nionyeshe show za mwakinywa Vandame Mpaka jua lizame Washa redio, radio Washa washa redio, radio washa
Mtoto kiuno kongola Mwendo wake kama vile adama Ata sinema sinema, naona kama sinema Mtoto ana mavitu yangu, nikipiga pana Anaongea kizungu eh eh eh eh kwako hoi
Nimeweka kigingi Sijiwezi pimbimbi Mtoto usopenda shilingi Na ukigoli goli
Mama tekenya tekenya
Funga mkanda tucheze kwa mbwembe Shusha nanga meli iende Nionyeshe show za mwakinywa Vandame Mpaka jua lizame Washa redio, radio Washa washa redio, radio washa