Mi najua niliondoka maa Tena bila kukujulisha Sio kama nilikimbia njaa Ila ni taabu za maisha
Mi najua niliondoka maa(Mamaa) Bila kukuaga Sio kama nimekimbia njaa Ila ni taabu tu za maisha eeh
Nikitazama wazazi wako Wananidai mahari Mara hatulali ,mwenye nyumba Anataka kodi ya nyumba
Wo wo wo wo wo wo wo Nikicheki tumbo nina uumjamzito
Muda mwingine nikikaa peke yangu huwa nalia Oooh mama, nikitazama hali yako nakuhurumia Oooh mama, muda mwingine nikikaa peke yangu huwa nalia Najikaza  kiume, nikitazama hali yako nakuhurumia
Mama kalima doo Kama njaa ikikuuma go Nenda kwa bibi kuna mihogo Na chai ya maziwa upozeko
Kalima maaa we kalima do Kuna wambea watakuambia mama Hata wakisema usiwaskize Kwamba nimekukimbia
Kalima maa kalima doo Kama njaa ikikuuma go Nenda kwa bibi kuna mihogo Na chai ya maziwa upozeko
Nitakutumia mtaji Ili ukidhi mahitaji
Uuze japo mboga mboga Dania na biriganya
Oooh ni wewe my dear Sioni tembo wee Wa kunizingua Sioni tembo wee
Aaah ni wewe my choice Sioni tembo wee Wa kunizuzua Sioni tembo wee
Ninachokukumbusha mimba yangu usitoe ooh Niombee nisifeli ingawa kupata maajaliwa Wowowowoowowo... Nimekumbuka tizama chini ya mtungi Kuna buku jero nimekuachia