Niimbe niimbe na tarumbeta Niimbe niimbe na tarumbeta Niimbe niimbe na tarumbeta Niimbe niimbe na tarumbeta
Hello mama kumekucha vipi na hali yako Msalimie na baba Salio halitoshi ni kidogo Naamka mwana we mwana wasalimia Ila amatoka kidogo Na jana hatujaweza ongea maana nilitoka majogoo
Ah kibarua ndo kishaota nyasi Nachokula pia kina ukakasi Nitakujengea hata kama ni ya nyasi Navuta heri na siwezi vuta nyasi
Ah hello Mama mama mama mama mama mama Nimepata salio Mama mama mama mama mama mama Ni mimi mwanao Mama mama mama mama mama mama
Nimepata salio Mama mama mama mama mama mama
Miezi tisa ulivumilia Iweje mimi jua la saa tisa Dunia ina vingi visa Yakinishinda ulisema niende kwenye misa
Ulishinda njaa mi na shibe Ukachana nguo zako mi nitinge Hospitali hadi kilinge Niwe hadi afya niimarike
Mama mama oh mama Mama mama, nakupenda sana Mama mama oh mama I love you, nakupenda mama
Ah hello Mama mama mama mama mama mama Nimepata salio Mama mama mama mama mama mama Ni mimi mwanao Mama mama mama mama mama mama Nimepata salio Mama mama mama mama mama mama