đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đŸŽ€đŸ’ƒ

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Best Naso
Titre : Mziki
Kama suspender, mbe mbe mbe
Baby hello

Leo unataja nikutoe dinner
Oooh nikutoe dinner

Mmmh sweety hello

Leo unataka tukale cha mchana
Uenjoy my beiby
Huba nimezama sijui umeroga
Kama umeroga kaongeze tena

Penzi lako tamu sina hali
Tamu limezidi asali
We ndo daktari wa mapenzi
Fundi yaani fire fire

Ngoma si dibwi, lakata kumbi
Kitandani ana vyeti ka fungu
Mie taabani

Ona eeh kadata na mziki
Tamu siishi hamu

Nikiweka anakatika
Tamu siishi hamu

Ona eeh kadata na mziki
Tamu tamu siishi hamu
Nikiweka anakatika
Tamu tamu siishi hamu

Alamba alamba
Tamu tamu siishi hamu
Alamba alamba
Tamu tamu siishi hamu

Nikirudi kazini
Nakandwa kandwa
Massage mwenzenu
Hata kuoga naogeshwa

Siku moja mara mbili
Nabadilishiwa bukta
Huwa anapenda utani
Basi daily nacheka

Huku tunakunywa wine
Mpaka mida inafika
Mimi ananiita dereva wa jahazi
Tete ndo moyo wake

Mtoto mashawa tende
Halua nampendaga
Mwenyewe anasemaga namnogesha
Nayamudu mapigo yake, yeye

Na mi sijiwezi
Ashanitia kabari
Ya mapenzi

Niko hoi mahututi

Nalishwa kwa kijiko
Penzi tamu bwana
Eeh ah alamba aah

Nalishwa kwa kijiko
Penzi tamu bwana
Eeh ah alamba aah

Nalishwa kwa kijiko
Penzi tamu bwana

Kuna vishawishi vya kila aina
Tafadhali usishoboke
Pia naahidi kukulinda
Maradhi nisikuletee

Na ujue nina wivu
Maana nakupenda sana
Ah nakupendaga

Tabata kigogo msata
Njoo maa nionyeshe show
Tegeta kwenge mchicha
Njoo maa nionyeshe show

Iyayayaya eeh
Njoo maa nionyeshe show
Iyayayaya eeh
Njoo maa nionyeshe show

Ona eeh kadata na mziki
Tamu siishi hamu
Nikiweka anakatika
Tamu siishi hamu

Ona eeh kadata na mziki
Tamu tamu siishi hamu
Nikiweka anakatika
Tamu tamu siishi hamu

Alamba alamba
Tamu tamu siishi hamu
Alamba alamba
Tamu tamu siishi hamu

Mimi ananiita dereva wa jahazi
Na tena moyo wake kainama kainuka
Kaokota ndizi banana
Beiby nitanunua Hammer
Ila bado uchumi unabana