Mjini kaunga sikia sound kaunga Hallo kaunga sikia sauti kaunga Na pembeni nina mtoto shingo yake ya upanga Hata baba na mama wamekubali ye ni kifaa
Mpaka wengine wanataka kuniua kw mapanga Katoto chuma kinawaka, katoto lawama, katoto matata Bahati yangu we Mulungu we, wezangu wanaona donge Wengine huyu mwanamke wanasema hatuendani Wanasema hatuendani mi naye, haya basi babe
Show show oh oh Show show waonyeshe Show show oh oh Show show waonyeshe
Show show oh oh Show show waonyeshe Show show oh oh Show show waonyeshe
Wanapenda kuchonga aah
Watoto ghasia hunikurupoka eeh Walai che mwenzako utundu eh Waringa na simu za tu za goroka eeh
Wapakia na waja eeh Jipodoe na wakuone eeh Jitanue Ah dodo
Nakupa na mapesa zangu wee Wakivimba na wapasuke Maana midomo kama vikasuku we We mtoto ning´inia ee
Kanitoaga na roho Utavunja mtima na wangu ee Tucheze ana ana do Wakinuna wanywe panadol
Tucheze ana ana do Wakinuna wanywe panadol
Show show oh oh Show show waonyeshe Show show oh oh Show show waonyeshe
Show show oh oh Show show waonyeshe Show show oh oh Show show waonyeshe
Si umepewa samaki baba Weka kwenye nyonga iyo Halina watoto ikionekana italeta zogo Akisema anataka (Weka) Kucheza karata (Weka)