đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đŸŽ€đŸ’ƒ

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Best Naso
Titre : Unaniweza
Wanasema mapenzi ni upofu
I know, I know
Ndio maana sioni nikiwa na wewe

Ukiwa umenuna sina furaha

Naona mwaka kukukosa ni furaha
Mvua ikinyesha nikukinge
Kwenye wabaya nikufiche

Nataka nitamwambia mama
Nimepata mwenza ambaye tunafanana

We unaniweza (Aiyoyoyo yoo)
Nakupa namba moja  (Aiyoyoyo yoo)
We unaniweza (Aiyoyoyo yoo)
Nakupa namba moja  (Aiyoyoyo yoo)

Naiona nyumba yetu
Yenye watoto wenye furaha
Naiona party kubwa yenye rafiki zetu
Kisha mama na baba

Naona miti mikavu

Ila ua nzuri limechanua
Najiona kwenye suti
Nakuona kwenye shela ah we mama

Tumevuka mabonde milima
Si hofu wakisema hao wachamba wima
Tumevuka mabonde milima
My sweet love usitazame nyuma

Mpaka nitamwambia mama
Nimepata mwenza ambaye tunafanana

We unaniweza (Aiyoyoyo yoo)
Nakupa namba moja  (Aiyoyoyo yoo)
We unaniweza (Aiyoyoyo yoo)
Nakupa namba moja  (Aiyoyoyo yoo)

Unitunze kama mtoto, kila siku nideke

Milele, milele, niwe nawe
Milele, milele, niwe nawe
Milele, milele, niwe nawe

Mi nawe, my namba moja
Mmmh  (Mega Touch)