Oh nakuvizia tukeshe nasubiria tutete Nakuvisia tusepe napulizia mtete Watakususia mkweche nitakuzugia na pete Si unajua vile mi niko hoi hali tete
Wapo walosema kwamba sipigi show I wish you know wasikushawishi doo Na habari zao zakua, sitishi hivyo Charge empty kila suka yani baterry low
Aah leo una vibe tukrefresh place Mi mgonjwa we tabibu Njo unitibu one stress nice Nitakuwa mjinga niki mess mess Ulikua nami toka sina kitu Enzi napiga deshi deshi
Mi sijaambiwa nikwambie Ila moyo utani-tetereka Ukiwa mbali na mie Upweke uta nitetemesha
Furaha yako niachie
Iii kwa mikono salama deka mmh Utakacho niambie oooh baby
Aaah donÂŽt let them fool you (Fool you) Kisa umenipenda mimi huyu (Huyu) Mapenzi ya dhati na hisia ulikwa nayo toka kitambo Na mengi uka hadithia, tunawezaje ikawa mipango
Since day one niko na plan kichwani Nimilki mjengo na bonge la wife kwa ndani Wife si utani wife waku vibe kanisani Sio yule wife wa Stamina alisepa nyumbani
Mapenzi ni yetu yetu Na sisi kiviyetu vyetu Yani kama Chuga Baridi yetu yetu
Mi sijaambiwa nikwambie Ila moyo utani-tetereka Ukiwa mbali na mie Upweke uta nitetemesha
Furaha yako niachie Iii kwa mikono salama deka mmh Utakacho niambie oooh baby