Naskia joto unavyokesha Mwisho saa sita ooh(saa sita) Nishapitia msoto Mpaka nimefika oooh Touch, take five now
Waambie mtaa wa pili Wafunge geti(funga geti) Tunapita majangili Wafunga geti (funga geti)
Waambie mtaa wa pili Wafunge geti (funga geti) Tunapita majangili Wafunga geti (funga geti)
Mnaojiita wakali, kiukali mnapimwa vipi Nataka sigara kali mifukoni una viberiti Mtaani waya kali, viwaya nitavuta vipi
D-d-d-dadako ananiita continenti Kwenye nchi za kutosha Maiti wanakosa coffin eeh
Kama buchi lililo choka
Aah nazioana chuki tu na sio upinzani Ukitaka kujua burudani, Muulize dem wako anajua navaa boxer gani Bado mna chuki kwani? Na mwaka huu mtavaa chupi vichwani
Pakua mangoma bila start duble duble Nashangaa mzozwa nani? Kusema nenga kivuruge Nimekuwa baba now Nimekuwa baba lao Siku hizi nachukiwa mpaka waganga wao Nimekuwa stori kwao Zaidi zaidi yao Kunichukia kwaiva pressure tu miili yao
Wanalenga ni kama nenga(nafanya miracle) Waambie wanaopinga, wazidi overdose
Wanalenga ni kama nenga Waambie wanao pinga Wanalenga ni kama nenga Waambie wanao pinga
Waambie mtaa wa pili Wafunge geti(funga geti) Tunapita majangili Wafunga geti (funga geti)
Waambie mtaa wa pili Wafunge geti (funga geti) Tunapita majangili Wafunga geti (funga geti)
Na roundi hii babako Lazima tuheshimiane Leo mhuni nimekutana na teke la Vandame Mpira pass ndo siri ya ushindi Na slide kwenye nyasi Imechana mkeka wa mhindi
Si mliandaa mipango Kaandaa migambo Kaandaa mitambo na bado mkatoa matango Sasa mtaandaa mapango, tandaa mabango nasajili ng´ambo mtacheza chini ya kiwango
Na bado tuta hesabu diary Na dose ndo hii nawapa(kwa stress) Tutasonga ugali of course kwa maji ya bata Na nitawahanyari wauza papa Walinitupa kwa bahari
Nifilie mbali na narudi na samaki nawapa
Si mlikuwa mnakula bati Me nakula kigae Nyi watoto wa mto wa kati Ndo napita mjiandae Eti unaniombea mauti Si bora usalie kunuti Mnavunja nazi my foot Bado hamnikuti
Wanaroma ni kama Roma nafanya miracle Waambie wanaochoma wasiji overdose Wanaroma ni kama Roma(hee hee) Waambie wanaochoma(hee hee) Mbomba ni kama Roma(hee hee) Waambie wanaochoma
Waambie mtaa wa pili Wafunge geti(funga geti) Tunapita majangili Wafunga geti (funga geti)
Waambie mtaa wa pili Wafunge geti (funga geti) Tunapita majangili Wafunga geti (funga geti)
Moto moto...
Naskia joto unavyokesha Mwisho saa sita ooh(saa sita) Nishapitia msoto Mpaka nimefika oooh Joe, take five now