Yaani leo mi ndugu zangu wanangu Masikini wananihadaa Kwa jasho klangu kidogo changu Nachokipata sikukificha
Acha ulalame na moyo upendo fula (Sawa) Mwenzako mi loyal ata ukiniona unapagawa Unashindwa sema beiby ooh ushakula madawa Mwenzako mikono hata ukiniona unachachawa
Na nisikiapo baridi we sweta langu Si tutoke twende kijiji kipenzi changu Nivimbe mto Rufiji na beiby wangu Out twende Kibinji kwa bibi yangu
Na punguza masihara, yatatawanya
Yasijeleta mazani aah Na mi niko imani, niko imani Ukikwama nipe dawa
Na sio kosa kunipenda ufanye sherehe Ila nami nakuomba nifanye hai starehe Kunguli manyanga nifunge nisirejee So kama anashindwa penda naogopa yasirejee
Na vipi nisemega ka mchumba wa kigogo Masha Love usimjue Na sio kosa kusema nachofaa usiinue Na vipi nishindeje mke wangu hadharani Na atachoma asinue Na mimi sio kama sipendi Sitamani anayenipenda asimjue
Basi na Yanga mariro (Mariro)
Simba mariro (Mariro) Basi na Manara mariro(Mariro) - mariro (Mariro)
Wingi una nini wakati unaishi ukweli Unajishoa ya nini wakati unalala sebeleni Wingi una nini wakati unaishi ukweli Unajishoa ya nini wakati unalala sebeleni
Basi na Yanga mariro (Mariro) Simba mariro (Mariro) Basi na Manara mariro(Mariro) - mariro (Mariro)