Nashukuru Mungu kanipa uwezo multipurpose Watoto wadogo level zenu nyie ni pampers Outfit zangu haziwafit aaah bas Si unataka kuwa bill za Nass
Mitaani road patrol sijawahi kuajiriwa Nafocus bro ndo maana siwezi kutawaliwa Mnaomba sana doh ndio maana mnadharauliwa Na madem zenu fool ndio maana wanabanduliwa
Sturagi ni za ngÂŽangÂŽangÂŽa excuse Waambie majamaa walinikuta sina mood Sitwagini silaha ikakukosa ikarudi(Ikarudi, ehee) Waambie majamaa walinikuta sina mood
Pata kidogo ushukuru Hata ukikosa usikufuru Pata kidogo ushukuru
Trust me nimewekeza mda wangu Hamwezi nipoteza labda mtoke na roho yangu Kuni-crush me sio nyinyi labda dem wangu Shehe ni yule yule leo nimebadili kanzu
Naishi mtaa mliopewa warning msipite Hapa polisi pale baa hakuna tatwishe Si mnajifanya vichaa muulizeni Chris jike Msiba kwa jirani mama usipike
Ya nini ufie uwezo wa mwanadamu ndile?
Anayeweka kuumbuka udongo kama mbivu ingine Yaani nifeel nikiwa na chance nyingine Nikiwa na elimu kidogo napiga brush wengine
Pata kidogo ushukuru Hata ukikosa usikufuru Pata kidogo ushukuru Baba