>Ukanikana mbele ya wana ukaleta mazingzong Kule, Kinondoni Moscow, life changamoto Ughetto moja local, unadai ilivyo joto Mapenzi kweli nyoso, ukaniacha kwenye msoto
Ukataka toka na vibopa (Masonko) Nikakosa pambio, mtoto wa ghetto Ukanifanya mpaka nikaonekana mental Pindi nadanda danda mambo hayajasettle
Si ulitaka taka mali Na mengine visizo na hali Ndo sababu haukuenda mbali Na mi rudi na hizo mali
Si ulitaka taka mali Ukaniona choka mbaya So ukiniona mimi tena Naomba ukar kae mbali
Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
Dada tatizo
Naskia stori kibao, mama walo kibao Na wenye hela kibao Sa mbona umeachana nao, hao walionizidi kete Wamekuwacha mpweke tatizo we kicheche Na ladha we sahau
Nilivovisha kete naskia we ulicatch Unataka tu mabeste haiwezekani eeh Hatuwezi hata kumeet, unataka kurevenge Hapana mama siwezi
Najua we una myo pia we una nafsi Ulinipenda ila ulishindwa tu kubaki We una moyo pia we na nafsi Mahitaji yako sikutimiza kwa wakati
Ulitaka taka mali Na mengine visizo na hali Ndo sababu haukuenda mbali Na mi rudi na hizo mali
Ulitaka taka mali Ukaniona choka mbaya So ukiniona mimi tena Naomba ukar kae mbali
Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo Dada tatizo
Mpya...mpya...
Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo Dada tatizo