Kangeta taxin bana niko handis Nane ngori pizzo man a badman Zima moshi rada za NACADA Mary Jane pass it napenda huyo dada
Mary Jane napenda wewe sana Nipate pale java niko jaba Chini hauwezi simama kata waba We ni art si basi msupa si chora saba
Pika soap nikicheki dabass Campus we ndo nangoja Pizzo De king and you You know it
Ngati ni ngola, Tanasha Donna Pizzo ni Don man, chorea conman Toka Dodoma, ati Dangote (Ati) Nabonya wote usiogope
Breko zangu zote kwa kibanda Ma-time lunch pia kwa kibanda Bachelor sapa kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda
Breko zangu zote kwa kibanda Ma-time lunch pia kwa kibanda Bachelor sapa kwa kibanda Wasupa daily wote kwa street nawahanda
[Blinky Bill] Sema bags when I stack up Msupa ameback up Najua hamjui mi hujua hizi vitu Najua hamjui mi huua hizi vitu Najua hamjui nitasumbua kila kitu
Now tell me who Want to come with the realest Ready and not so we gon play And if you really wanna know how we do this thing
Let me tell you, let me tell you one time
Leta sima, leta nyama Leta mboga one time Alafu sasa jaza supu niwaoshe one time Jina yangu usitaje ukidai kuja, jakes (Kuja jakes)
Rada rada za kifala sema kweli mi sijui Kama doshi iko poa basi jua sibagui Na warembo hatujui wamefunga buibui Hapa kazi nimefunga ni kukula kama chui kang kang
Breko zangu zote kwa kibanda Ma-time lunch pia kwa kibanda Bachelor sapa kwa kibanda Wasupa daily wote kwa street nawahanda
Breko zangu zote kwa kibanda Ma-time lunch pia kwa kibanda Bachelor sapa kwa kibanda Wasupa daily wote kwa street nawahanda
[Zzero Sufuri] Mi hupiga biz ka ni sure Niko juu ya maji ka mashua Ka ni shada mi hunyanyaga na mapure Mi ni mkali zaidi ya pili hadi khalisi ananijua
No crack pay napiga stiki Ikus si tamu ka haiwiki Huski kajaba si kambere ka hakashiki Nipate juu ya kandovu kejani harufu ni ya iliki
Attractive inavutia mamatha Ngoma huskii ni mbaya Kili mums utaipata
Zzero man a bad man shatta Doshi imewachizisha na yangu chuma wanaitaka