This (ooh ooh yaah) Vile nilipatwa (aye)vile nilipatwa Yeah yeah yeah yeah (Ooh yaah) Vile nilipatwa (aye) Yeah yeah yeah
Story ilianza like this Vile nilikutana na Peng (Peng) Haga ilikuwa legit (Legit) Jegi zilikuwa zinadance (Dance) So ilibidi nimechora (Chora) Vile chipo atachotwa (Chota) Kumbe huyu ngeus anachora (Chora) Vile Bouti atatokwa (Yeah yeah ayee)
Ngeus alikuwa amepagawa (Pagawa) Ningejua hapa ni tafash (Tafash) Alispike up the liquor (Ooh) Hapa bado nikizama (Nikizama)
Kichakani nilisaka (Ooh) Nikapata nikawinda  (Winda) Mi ata sikuwa rada (Sikuwa rada)
Nilianza tu kuzima (Aye)
Shawty ran off with a laptop (Laptop) Chains na Bluetooth speaker Then nikaenda kwa kitchen (Kitchen) Ata noodles aliiba (Maze) Buda ilibidi nimewasha (Aaah)
Nitulie tu nikiwaza (Waza) Vile huyu ngeus ameshinda(Shinda) Anajua alimaliza (Yeah aye aye) Ata nikipiga hiyo mbana (Mbana)
Mteja tu ndio mi naskia (Prrprr) Ngeus ametambulika (Lika) Mi nililalia maskio (Mi nililalia maskio) Buda nilijua nimepatwa (Patwa) Vile nilikuwa naona anaskwa (Sakwa)
Ilibidi nimewasha (Ayee) Niendelee tu nikiwaza (Yeah yeah )
Story ilianza like this Vile nilikutana na Peng (Peng) Haga ilikuwa legit (Legit) Jegi zilikuwa zinadance (Dance) So ilibidi nimechora (Chora) Vile chipo atachotwa (Chota) Kumbe huyu ngeus anachora (Chora) Vile Bouti atatokwa (Yeah yeah ayee)
Story ilianza like this Vile nilikutana na Peng (Peng) Haga ilikuwa legit (Legit) Jegi zilikuwa zinadance (Dance) So ilibidi nimechora (Chora) Vile chipo atachotwa (Chota)
Shida Bouti alipewa hiyo duri vizuri Bouti aliibonda Buda hakuuliza mbona tumetoka hiyo dunda Na dame hajachoka
Kumbe huyo ngeus ako maji Ju saa sita ya usiku alitema mogoka Vile nilikuwa mangwai Hadi nilicheki huyo dame akidoze na toja
But usiku alivyochachisha shawty alipanda Hadi kwa dirisha Vile ananyonya anapandisha Hakuna time mzae alilalishwa
Buda hiyo mtaa inatisha So ata akisonga mi sikusoma Ni ka mchele ilikuwa ndani ya cola Ju nilichoma then nikabonda then kitanda ikabonga
Lakini kitanda ni usiku wa manane Baridi ilikuwa inanigonga Ju dem alitumia bedsheet Kubeba njumu na nguo za Gikomba
Dame alihepa na mali Lakini aliseti bado nyongi moja Ratchet intention Shawty imagine chenye aliniachia ni ngotha
Story ilianza like this Vile nilikutana na Peng (Peng)
Haga ilikuwa legit (Legit) Jegi zilikuwa zinadance (Dance) So ilibidi nimechora (Chora) Vile chipo atachotwa (Chota) Kumbe huyu ngeus anachora (Chora) Vile Bouti atatokwa (Yeah yeah ayee)
Story ilianza like this Vile nilikutana na Peng (Peng) Haga ilikuwa legit (Legit) Jegi zilikuwa zinadance (Dance) So ilibidi nimechora (Chora) Vile chipo atachotwa (Chota) Kumbe huyu ngeus anachora (Chora) Vile bouti atatokwa (Yeah yeah ayee)