Ah Odi wa Murang´a na Boutosh Huingiza makali kwa keja wakatevega Mi huitwa chokosh Vile mi huokota kwa mastreets naipepeta
Vegeterian mi hukulanga punani design ya kiserera Mi hupenda wale wamebeba ndo nikipiga inatetema Nitolee form nikuje kungwai niwashe ki ooh eey Sitakupora na hakuna kile kitu buda utadoo
Ukuje na nyege nigeuze malaya Ndo ujue hujui eey Mi hukula senye vile mi hukula Mzambarau ikiwa na adui eey
Ndani ya mrenga ni deng´a Anapiga manduru vile Bouty anaitevega eey Vile amebeba shawty atashtuka Vile Bouty hajawai lemewa eey Ati ni virgin mi nilishtuka Vile Bouty aliteleza eey Showty ni guzzler vile makali ilikuja na
Tevega, tevega, tevega eni Tevega, tevega, tevega eni Tevega, tevega, tevega eni Jaba ikilandi mi nazima ju ya punani
Mi sina Riz nakiroll na gazeti ya Jamaica Na mi stambui naeza kalia mkoko hadi China Dem yako gui nina foreigner sikai kumemenya Mimi ni mrui, muru mtanashati wa wa Maina
Zimeshika nafeel tu nimeze jaba Zimelipuka niko mtaa bingu la saba Nacheki Bouty kwa ile chuom na makahaba Wanawasuka majing jong wanazichana
Ye ni vajo amenibebea key ya moti Huyo ni Caro ye ndo hunipanguza manjoti Na si mtaro ka madem si hudishi na Bouty
To kama anahate anadinywa kwa makuti
Tevega, tevega, tevega eni Tevega, tevega, tevega eni Tevega, tevega, tevega eni Jaba ikilandi mi nazima ju ya punani
Tevega, tevega, tevega eni Tevega, tevega, tevega eni Tevega, tevega, tevega eni Jaba ikilandi mi nazima ju ya punani
Odi wa Murang´a na Bouty ni mang´aa bila.. Odi wa Murang´a na Bouty ni mang´aa bila.. Odi wa Murang´a na Bouty ni mang´aa bila.. Odi wa Murang´a na Bouty ni mang´aa bila..
Aki walai si tuhide na..
Do it, do it, do it, like that Do it, do it, do it, like that Tevega, tevega, tevega Drop it, drop it, drop it like that
Like that, like that, like that Drop it, drop it, drop it like that