I say Mr don´t keep your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Ni normal msela kuwa different Uovu wa maneno utapita
I say Mrs don´t keep your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Mbona waogopa kuwa different Chuki ni tofauti ya kutishwa
Ushaiambiwa na msee hauwezi ukaweza Ushaiambiwa na msee hautendi ukatenda Mindset different talanta haishindi effort Mawe itakuumiza maneno haiwezi kunja meko
The pressure inakupanda unakashifu hadi matha Ju flani ako Dubai na flani ako Sankara Unalilia ukiwa jiji ukicheka mtu wa moshatha Unasahau kusema asante uliamka after kulala
Shida ni nini? Shida depression inatamba eey Tufanye nini
I say Mr don´t keep your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Ni normal msela kuwa different Uovu wa maneno utapita
I say Mrs don´t keep your distance Fikra ndo itakufanya victim yeah Mbona waogopa kuwa different Chuki ni tofauti ya kutishwa
Mi si mspecial mi pia nilikuwa na thoughts
Labda ningedu kitu different ju bado sijapop Then nilianza makali nightlife ikakuwa habit Nikaanza kusnort same time ninapop
But haikuitwa emptiness ilitolewa na talk Haikutoa hizo nyoka zilikuwa around zinacrawl Ilinipeleka deeper deeper deeper kwa darkness Absence ya reality ikakuwa comfort ya matress
Sai cheki state ni vile Bouty anawalk Akili niliishinda mi huwacha wanatalk Niligeuka building nikaangushaga walls Sai mi ni winner yeah I walk the talk