Hizi mitaa wauniita (Bazenga dadii) Hadi wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii) Step out all eyes on (Bazenga dadii) Eeeh (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Yaani fresh to the bone mi ni (Bazenga dadii) Wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii) Step out all eyes on (Bazenga dadii) Eeeh  (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Bazenga dadii hio ni title ya kibudaa So bani apewe red card ka niko grao nawachuja Vile navima na sijaguzanga dumba wakisema  Breeder sio star hio ni rumour
Pengting beside me Ye hushindaga Tiktok alisare IG Wazing uuptown downtown hudai me washika
Washika na ma bigtune, hii ni ya Motif sikosi
Mabrama na ki lighter kwa pori (Pori) Nawasha na kumedi nikiwa lonely (Lonely) Boss man najua ma biggy Syoki Wale keja zo ndani kuna hosi
Juu ni biggy Msupa namchizisha na ma quickie Kutoka rookie nisha geuka MVP Iko nini wacha ni zidi kuzidi Bazu ni Gwiji
Hizi mitaa wauniita (Bazenga dadii) Hadi wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii) Step out all eyes on (Bazenga dadii) Eeeh (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Yaani fresh to the bone mi ni (Bazenga dadii) Wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii) Step out all eyes on (Bazenga dadii) Eeeh  (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Ka ni cheap talk sinaga idhaa Tubonge ganji ndio inadai na inafaa Cologne flani utainusa from a far Kladi za waadhi zimetoka Vietnam
Make a toast cause we finally made it Maziwa mingi kama ngÂŽombe za gredi Magaldem hunipaga hedi jegi But usinyonye sana si utafanya nidedi aah
Mi niko Dago hapo Race magizani Eastlando hadi ndani nina machaji Weekendi nayo tuimaliza na makali
Suma ni ngware na rauka na kihangÂŽy haa
But I be fresh to death Fika bei buda ka unadai connects Aah mi ni MC na bado ngoma wavy What you see is what you get
Hizi mitaa wauniita (Bazenga dadii) Hadi wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii) Step out all eyes on (Bazenga dadii) Eeeh (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Yaani fresh to the bone mi ni (Bazenga dadii) Wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii) Step out all eyes on (Bazenga dadii) Eeeh  (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Ka uko janta kila siku (We ni bazenga)
We unakulaga za kwako (We ni bazenga) Ka ni luku piga safi (We ni bazenga) (We ni bazenga) (We ni bazenga)
Day one sijawai watupa (We ni bazenga) Na wasoro unachorea (We ni bazenga) Kupiga hesabu umezoea (We ni bazenga) (We ni bazenga) (We ni bazenga)