Yoh Hello, Niaje msupa wa ile smile ya ki princess Bazenga Daddii umenibamba nina interest Picha zako zinafaa ziuzwe hapo Pinterest Na una vako ziuni nice ju ni different
Hii valentines vile imefika nina swali mingi Tukienda date ka chapo dondo na ka firi firi Tuki sip ka lemon tea na ka tangawizi Utanitoka ama bado utastick na mimi
Ju nakupenda vile Rao hupenda politics So round saba bila break hio ndio policy So twende wapi ata Sarova me ntalipa bill Ju hawa wasanii hutaka feature hulipa deposit
Ushai jicheki kwa kioo vile we ni snack Uniite Daddii aki walai me nta roger that Unadai pete na maua me nadai paka Ju una sauce na una flavor huwezi isha ladha
Nikikusho upike omena utapika kweli Na ka mathako hanitaki utanipenda kweli
Ukinipata na morio wako utado nini? Ju unajua me star kama Bruce Willis
Tupost selfie IG na ki caption Crush wako alete zogo,makahasho Usafi flani na hujai nuka jasho Si ata pongi iko ina arufu tu ya passion
Na me rapper ntakusuka ,utatii Ulimi tamu kama biscuit za nuvita mamii I´m a G,na vile we hunitoleanga njeve Heads up, fika early ,gate hufungwa by 11
Na ukifika usi knock, doors open Ukitaka ata ingia joh na ndulla no problem Pizza inn,Chicken inn hizo zii me ni Bazeng Labda strong tea na makeki hazina icing
Basi wapi deep end,naeza dive in Siri zako zote we huchora kwa diary I hope we si minor,una ID Tuanze 3 ngware tumade by 6
Ma please call me na reverse call Ju ushani miss na unadai niku sample Baby Boo, bila make up you still glow Pombe sigara naeza acha bila struggle
Ikikuja kwako,Ni addiction niko nayo Ntaku dedia ka nyayo ni me Messi si Adebayor So tuki set, tuki blaze tumalize mkutano
Wasupa wengi niko nao ntachorea Prada na Gucci ndio me ntakunyeshea We ni wa uptown, Westy ama Kile We hudunga ma crop top, me hudunga ma berret
Nisipo text we hujam saa zingine I´ll make it up to you,fast usipime Na hapa Kenya I´m the best in the business Jua unakatiwa the best,The illest