Yo ukipanda ligi unafaa kujigamba Kuflex huwaga gharama Shawty atense sura ni safi haitaki mascara
Depo zii baada ya janta lata mabramba
Wakisema unajifanya si kwa ubaya Bei imepanda, bei imepanda Bei imepanda si kwa ubaya Bei imepanda
Wakisema unajifanya si kwa ubaya Bei imepanda, bei imepanda Bei imepanda si kwa ubaya, bei imepanda Baada ya janta lata mabramba Si kwa ubaya bei imepanda
Bei imepanda design ya irori Uswahilini husema bei ni ghali Staki hio mchezo ya ndae ni ndae Bei imepanda na pre Ferrari
Ka ni kurau ni very early Kuzikusanya ni daily habit Van Persie bei ilipanda akatoka Arsenali Bei imepanda lakini ya PS5 tunangoja ishule Denri nichi hazilali kwa kamba ama utazikosa shoke Bei imepanda najifanya bubu ka stori hubongi ya pake Bei ilipanda nikatoka msupa nikaanza kusuka mathake
Campo arif second year alisare (Na ni kwa nini?) Fee lipanda Kukinyesha we chorea manganya (Na ni kwa nini?) Fare hupanda Bei imepanda nadai Tanasha (Na ni kwa nini?) Ndo nikuwe step father
Niko na kwetu mi nicha usonga Nikiukata siwezi zikwa Lang´ata Nasipigi lap ka si ganji imenitoa hapa Panda bei mpaka hater aseme unafanya kazi poa Ka ulipata Ronoh uliza nani alikohoa We ni fake ondoa naona hujatoboa Ngoma ka imeshika unakatika sure Drip ikikubali we mwagika lowa Ukipata ayela na amejipa oa Na ni smooth amenyoa basil atabomoa Statue mi nataka isundwe hapo kando ya bweha Man a heavy weight mi ni black bela hoya Hapa kila kesi tunasolve bila lawyer Chai si ya Edgar chai ni ya soya
Ukipanda ligi unafaa kujigamba Kuflex huwaga gharama Shawty atense sura ni safi haitaki mascara
Depo zii baada ya janta lata mabramba
Wakisema unajifanya si kwa ubaya Bei imepanda, bei imepanda Bei imepanda si kwa ubaya Bei imepanda
Wakisema unajifanya si kwa ubaya Bei imepanda, bei imepanda Bei imepanda si kwa ubaya, bei imepanda Baada ya janta lata mabramba Si kwa ubaya bei imepanda
[Ssaru] Bei imepanda nilipe ndo nije matanga Mi nakuita mshamba ka unangoja nirudi moshatha Zile mboka mi napanga usinilipe ni ka doh unachanga
Ati bob, bob ey buda mi nitakupanga
Hii pete ilipatanga chanda (Na ni kwanini?) Bei imepanda Usiku ni kazi napanga (Na ni kwanini?) Sina kitanda
Safari nasonga na nganya ambia mahater wafunge mikanda Hii doba imekuja kuhanya venye inatesa ni vol kupanda Vol kupanda kwenye videsa nachocha na TK Bars on bars kutamba vile ni kubaya tumeleta DK Fresh utadhani ni PK, nimeserve we ngoja nipike The Don mkisema ni CK, kenye namean ni buda nishike
Mi simba lakini ni jike na bana nawinda so buda nipishe
Hii kitu lazima ijipe na mi niko macho hadi jimbi liwike Ka ni collabo sipeani sare ju mi bado nilikanja The Weeknd Msikurupukwe ndo ati mi niwike naua ndo nyinyi mzike
So bei imepanda buda nasema ati bei imepanda Na bei ikipanda mi huwa nachachisha kama makanga Nilisare kibanda walai ata heri nikose kumanga Bei imepanda wacha kulia uko dimanga
Ukipanda ligi unafaa kujigamba Kuflex huwaga gharama Shawty atense sura ni safi haitaki mascara Depo zii baada ya janta lata mabramba
Wakisema unajifanya si kwa ubaya
Bei imepanda, bei imepanda Bei imepanda si kwa ubaya Bei imepanda
Wakisema unajifanya si kwa ubaya Bei imepanda, bei imepanda Bei imepanda si kwa ubaya, bei imepanda Baada ya janta lata mabramba Si kwa ubaya bei imepanda