We ulipitwa na wakati Mi niko ahead of my time Floor yako imebeat hainyc Na mi nakuja na the new design
Vile underdog nimerise Madoggy za kwenyu hazinyori hizi sides Kwa mikono za Jah na-reside Mabani wote watarecognise ah
Nafufua rap mi ndo remedy Songa mbali ka una negative energy Nisiporoga si nitadedi mi Nitaroga hadi nigonge ka seventy
Bazenga dadii jina biggy Itabidi hadi Uhunye anipe kazi kwa ministry Naogopa pongi unatupa hata kushinda pongi ina syphilis Nikistep ni ma-timber oriji, leather feel hiyo texture
Na-excel kwa hii fani ya muziki
Mrazi keti upigwe ki-lecture Siku hizi wakitaja quotation Kile nasema ni ongeza pesa
Siku hizi niko on rotation Utadhani naishi maisha kwa blender Uh msupa magician ju amefanya chuma ikambao Ligi si mia ni thao, nashika hisia zao Mambus wanateta ni how? Fimbo haitoshei kwa trao
They say I´m busy and proud When the money came around We ni fala ju ulidoubt hii skill Mfalme ni mimi si wao
Uh hype na ambition Ni vitu mbili niko nazo kwa wingi Ni Breeder tu na BBI kwa hizi gazeti na TV
Unatakaje kukafunga na huna bidii kwa CV
Mi hukata waba na Joe Muchiri hapo ndani 18 Impsossible kunibeat ka kudishi crips na uma Wakingoja nifall off ole wao mi navuma Mitego zao niliruka ka ile logo ya PUMA
Mi hupendaga ma petite ka ile figa ya Huddah Tenje inalia, guess ni nani anadunga? KOB bana niko na shoot niokolee kidinga Flow ni mbaya nahitaji G bag basi leta booster
Ambia marapper moto nawasha hawataweza zima Ah tenje inalia, nani tena anavuta? ´Breeder bana mi ni rapper na nataka favours´ Iza bana ka ni verse ujue nai-quote a mita
Hujai skianga hizo mabere mi hushika na doh za feature
Uh tulia, ka sina form nimetulia Kejani wasupa ka kumi na This year watanichukia
Sishiki cladi za Jumia Nikifika ni ka movie yah Hollywood kwenye cinema Drip imejaza ma jerrycan
Bongi imejaa seminar Ndani ya booth na Berinjah Ngoma zote zina enea Kwa club pandemonium
Ju Bazenga Dadii ako area The louder the merrier TK si ni sheria Nikiifanya na-deliver
Yoh yoh yoh bazenga dadii Cobra TK, you don´t know Breeder LW manze Sijui hawa wasee ata tunashindaniaga nini Uko chini bila Breeder inaboo manze
Vile naifanya ni mbaya ni mbaya sana Siezi legea ju leo si ka jana Manzi hunihold ka taya za Hammer Fire in the booth the mic is on fire] killer for hire Murder Mc´s wabaki so dire I fuck the game fi easy no gainer Na mfalme ni mimi hapa no bias