Yeah, eey, eey Wacha chuma ilale ndani Breeder, Boondocks Gang eey
Ukishindwa kuwinda, subiri mzoga
Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani
Kijana hatari mi silalangi kwa kazi Na stamina mi ninayo ka ya jini Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani Nateka ngeus wa Getho ama Wendani Chapa ilale we lalisha huko ndani Tangu uhururens siku hizi mamkoba ni wengi Tangu when siku hizi mambleina ni wengi Tangu lolo siku hizi wamlambez ni wengi Tesa jo hiyo turi kishenzi
Hadai lolo yeye anataka chuchu Hadai kudarwa yeye anataka munju Free Bunton yeye anataka Buju Penda yeye kwa sana majuju Ilie ndani mangeus madudu
Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani
Romour has it ati Breeder hupenda nginyo Design ya radi nikichapa si ni kifo Na mi hodari, me huichapaga na finyo Na hapa Nai si madem we hupendaga fimbo
Na kwanza ngoja, amefika kejani
Mtoto si ana tako utadhani amebeba meli aah Nampiga lugha si unajua yaani ngeli Punde sio punde tusharuka kwenye bedi aah
Ooh Lord, ooh Jesus, oooh Breeder Mi huitwa Zaddy saa zile nashughulika aah Mi huanga rapper na leo nimebadilisha Naleta vibes Old skul ka za Issa Na magizani ndio bado me huzama Diva So if am on it na promise naleta fever Hii key shingoni am sorry hii key huumiza Narudi tena na tena sitakuficha
Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani Wacha wacha chuma ilale ndani
Nikiitiwa ikus me hukam ngware Nimejipin makondiko staki jakadale Na si za Gava aki walai nimetoboka mware Wamnyonyez we inama wacha mohahe Kam na mabeshte, kutu ka hii inataka six sum Si kimapepe me si nice ukinishika Leta kamenje nirecord nieke Insta Kadem karembo nimekamanga stori kwisha
Ilale ndani hatare na  haitambui giza Ukae rada kama peddy chuma itatapika Ujuzi mwingi nina ngwati kama GB sita Noma nyeusi ashatii na akawika tiga
Mtoto alilia wembe sai anataka chuma Inawasha hadi anajikuna Nimhepeshe kejani magizani Achachishe watii majirani
Hakuna haja ya ubani me sidhani Niko boost nina tools na majani Ni uduu mkilalisha ni utani Nichome tire nisafishe na ubani