Ushaipiga all white ukingÂŽaa ka malaika Bagiko ya Denri ndani ngiri ka tisa
Nilifika manduru waroro kuwika Ka hujadunga Denri basi Asta Lavista
Denri ni leather, feel hio texture Na space pia ni bigi ya maGbag marizla Hood nikipiga ndo sura naficha Kila kitu ni Denri kile imebaki ni sneakers
Drip ka vyombo zimeoshwa sahii Tisho piga fiting ndio msupa atii Kabla ufike ligi ya cladi za mi Kwanza jua bei ya Denri ndo upime my G eeh
Vako za begiko ni Denri (Denri) Fake Fendi ondoa chagua Denri (Denri) Cheza ki wewe cheza ki Denri (Ki Denri) Lenga ma Daso chukua chukua Denri

Nishaangusha looku begiko label ni Denri Nikisetiko lazima nicheki Rada kama chafu washa fegi Nikikutoka bafu chafu niko medi Hii mchezo mi ni striker siwezi hata pena Zishanikamata nikasaka Fena Nilisoma kitambo niko rada Bena Nikimteka tu ni nyavu chini mi nashema
Popo chini na form ya kigongi Denri Siezi kosa rubber na kinyongi kwa Denri Niko kimoja na pesa ka pongi na Bentely Kati ya waroho imekukesha kwangu daily
Vako za begiko ni Denri (Denri) Fake Fendi ondoa chagua Denri (Denri) Cheza ki wewe cheza ki Denri (Ki Denri) Lenga ma Daso chukua chukua Denri
Vako za begiko ni Denri (Denri) Fake Fendi ondoa chagua Denri (Denri) Cheza ki wewe cheza ki Denri (Ki Denri) Lenga ma Daso chukua chukua Denri
Danger mi hupenda kama Henry Hakuna wasi wasi mi si pedi Lakini niko na Gbag kwa hii Denri gathee Mistari mi hutema Caliente Hii ni sauti bila Sol mi si senje Sister shika Denri kibenje Ju kabag ni lazima Denri
Kiatu ni Adidas usinyonge monkey shika nyongi Na hio monkey business wachia watoi Denri mambo safi huwezi pewa na deni Pure leather kitu fine gutire maheni Cheki hizo design imagine you can choose any Uende home na Ki Denri and everyone is happy Pewa Denri Denri, shika Denri hakuna fake Fendi Denri pewa Denri
Vako za begiko ni Denri (Denri) Fake Fendi ondoa chagua Denri (Denri) Cheza ki wewe cheza ki Denri (Ki Denri) Lenga ma Daso chukua chukua Denri
Vako za begiko ni Denri (Denri) Fake Fendi ondoa chagua Denri (Denri) Cheza ki wewe cheza ki Denri (Ki Denri) Lenga ma Daso chukua chukua Denri
Bag sio bag kama si Denri Ukidai kubuy lipa cash no deni Hio ni sweat hio si drip Kama tisho si ya Denri
Unasafiri basi shika bag ya Denri Mrembo asadai changu ni chake Kahood kako safi cheki anamezea mate Anasema nimpakate kazip kako tight Colour zote ziko black hadi ile white Kubwa ndogo zote ziko size Denri looku ni safi napiga kimarashi Johnny na Fendi tabia kina Johnny Leo nina Henry mali poa poa Denri Bila ma twa twa Usiogope kusema ata ka una ngÂŽoa ngÂŽoa