Ma peng ting kuwazungusha kama peddle Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje
Step in ni commotion, hatu settle Ma peng ting kuwazungusha kama Nikiwa kwa fom Jua Ni Genje, ni genje Nikiwa kwa fom,Jua ni genje ni genje
Bazu Bazu,Wabebe juu kwa juu Bazu Bazu,Wabebe juu kwa juu Aki ya nani sija chase hii vodo walai Aki ya nani leo sitoki solo walai Ma gala wananisuka na wanaweza We una pupa na umefika na Impreza Ma fuck boy wamedie nywele kama dexter Na mashashola ndani ya satchet ya ketepa
Ehh!! Big Drip,Hii ni Nile apana Tana Kuna msupa ameibwa weave kwa hii turn up Mzuka full genjeness in abundance Sishiki tenje ka hatubongi biashara
Tuki step in ni commotion, hatu settle Ma peng ting kuwazungusha kama peddle Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje
Step in ni commotion, hatu settle Ma peng ting kuwazungusha kama Nikiwa kwa fom Jua Ni Genje, ni genje Nikiwa kwa fom,Jua ni genje ni genje
Hii ni vibe ya ki bazu na fom iko tru Na sipendi hawa ma zuzu hubleki kwa loo
Leta kichwa,kachumbari na ki supu Ati hujali mbele ya watu unani busu Ma taxin ndio zimefura kwa mdomo Niko sete na kwa pori ni ma Jomo Nachocha Benzema niwashie ki jamo Ngoma kali itawashika mpaka Lagos TK mandugu zangu wako area Ka umejipin usilipue ki ndengÂŽa Kuna makwella nataka nitoke nao later Wakiniboh niwa curve kama Beckham
Tuki step in ni commotion, hatu settle Ma peng ting kuwazungusha kama peddle Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje
Step in ni commotion, hatu settle Ma peng ting kuwazungusha kama
Nikiwa kwa fom Jua Ni Genje, ni genje Nikiwa kwa fom,Jua ni genje ni genje