Kitu ni nono Denge nimsimame kama konokono Ni kwa mkono Mdomo ya denge manze si ni lolo
Kitu ni nono Denge nimsimame kama konokono Ni kwa mkono Mdomo ya denge manze si ni lolo
Hii kitu ni nono Denge nimsimame kama konokono Spliff ni kwa mkono Mdomo ya denge manze si ni lolo
Hii kitu ni nono Denge nimsimame kama konokono Spliff ni kwa mkono Mdomo ya denge manze si ni lolo
[Breeder LW] Bazuu bazuu bazuu Ka niko ndani ngoma ni noma na inagonga kama radi
Bazuu bazuu bazuu Mahali imefika mi nashangaa nashindana na kina nani? Ni hao, ni why, ni who? Maswali mingi ni za kitoto we panguza makamasi Bouty, Denzel, Master Ssaru na Maandy ongeza buda combination ni hatari aah
Ah, kitu ka ni nono ina Tetenas Nishai mwaga voodoo kwa Calabash Nina kitambaa ya kupanguza dust Incase nikistep nikanyagwe Clarks Sivuti nganya na silambi nyap Hujai level up mi napanda ranks Tukifunzwa ujana we ulihata class Jina ni Bigii mi hulipa tax
Roho chafu we ioshe na Harpic Uto mabang´a ishageuka habit Nina heshima huwezi nunua Tuskys Album next ah classic Flow ni mingi kama ndae DT DObie Kitu nono ye huipendaga doggy Bazenga daddy nilifika kwa show biz Wasaniii wote sa wananicopy
[Maandy] Kabaya nishafika kwenye scene Haya katambe ka una beef Waya chini ya maji sub-marine Rada spit game Tychii Messiah naokoa kina nyi Gwaya wananiogopa ni malaya Kuclaim kila team na bado ni bottom RIP
Kitu nono inamaliza tena ina tisha futi ni tisa Niko jikoni napika nikimaliza turudi misa Ng´ang´a nini hata chini piga ka ni vita Siamini kichwa chini nahesabu raundi ya sita
Sitachoka kuwatisha Sita-sitawacha wakilisha Sita-sitawacha kuwa teacher Clean bitch piga picha, follow the leader
Infact niite picha mr, Usitry bahatisha Miaka nne nawaosha mmh, aibu Fyeka beat Maandy tosha
Hii kitu ni nono Denge nimsimame kama konokono Spliff ni kwa mkono
Mdomo ya denge manze si ni lolo
Hii kitu ni nono Denge nimsimame kama konokono Spliff ni kwa mkono Mdomo ya denge manze si ni lolo
[Boutross] Nduru apige, vile makende ya Bouti ni nono Ndugu mpende, mpaka ajaribu kukutupia mkono Niko Rongai juu ya mangwai na mistari za stori za ngono Nilitolewa uvajo na matha enzi moto Bonga nikuonyeshe mbona mi husemanga number ni wrong Vile aligenya vile alikam Suspect stand the pressure mbona unatap the phone Mlami ashajileta shore anadai kujipatia ball
Nikitoka kwa tumbo ya matha, mi nilikuwaga mandom Nilichotaga supu na Sandra then wakachota ki-Corazon Mi ni chemist condoms Bouty ashajua ashatolewa phone Vile nilipigwa mtaani Bouty nilibaki nikiimba home
[Denzel Kong] Ju kitu ni nono, imebidi tukuje na remix for the people Nikam niwa ajax, vile nasukwa na denge amebeba zigo Kuwakunywa kama Bibo Difference ya si na Gava tunawork for the people
Ju kitu ni nono, ey flow kali tena nono
Mbogi biggy manze yenyu ni ndogo Mtu sita ndo mjue ni zogo aah Mmh wacha katambe men, 2020 mi silali
Mi ndo ule ulionywa na mzazi Pewa wembe nika-sharpen makali Like oof wewe ni nani msee? Menu mi sijali nimekula shida mpaka na maji Wengi wenyu mkikula kibabi Yeah flow tight than yours wide Zenyu ni koro na yangu ni virgin Nikingwai nitaball all night Ndio nikafunge mokoro awe ganji Kong, yeah ju kitu ni nono nimeleft Sheesh you don´t know (Yeah)
Hii kitu ni nono Denge nimsimame kama konokono
Spliff ni kwa mkono Mdomo ya denge manze si ni lolo
Hii kitu ni nono Denge nimsimame kama konokono Spliff ni kwa mkono Mdomo ya denge manze si ni lolo
[Ssaru] Kuna mtu amekuja kuchachisha, nani? Ssaru wa Manyaru Cheki venye mnanikaribisha, na nini? Mmmh kinyaru Alafu na plate ya pilau, na nyi ndo mnakuwanga wadau Majina zenyu nishasahau, alafu huwa sipendi dharau
Kwanza hizo za kina Kamau na sipendi pia za Musau
Leo nimekuja na katot kwa hii fore nimekuja kupoach Siku hizi huku mi ndio coach so unaeza ni-approach Naskia ati mnaniitanga boss na eti mnaeza ni adopt
Mnaniomba mapicha mpost, bro hiyo itawacost Nimekuja na moto mkali, fire extinguisher inazima nani? Nataka tu daktari mwenye atanipea dawa fulani Ata akinipa kachali, who chuma inalala ndani Ata akinipa kachali, who chuma inalala ndani Ati ata akinipa kachali, what? chuma inalala ndani
[Mastar Vk] Afande, weh, kitu ni nono, ooh baby you don´t know Nachapa ka box ya mono, nafanya hadi arushe mikono Nateka goshodo nachapa nachapa nafinya ata ka niko donyo Epuka mapoko ju pongi inanuka na bado ina kisonono
Ka daily ni ka niko soko venye mangoko wananihanya Wao hupenda kucheza na mboko Kwanza ile gethaa wameshinda wakinyanya Afande analeta mashida na roll kwa rodi na dinga
Ndole kwa wenye wanaringa na ball ni ka ni Mariga Navuta mangwelo na cigar, saba ukichora napiga Haga si biggy ni bigger, Vk anikwame ka tinga Mi rapper, mi singer, na bado nacheza ka winger Mangoto kwa kila finger alafu natoka wajinga Ngoma ni tamu ka tende, jibambe ka uko matembe Ka unanipenda nikembe, songa ni kama ni sembe
Hii kitu ni nono Denge nimsimame kama konokono Spliff ni kwa mkono Mdomo ya denge manze si ni lolo
Hii kitu ni nono Denge nimsimame kama konokono Spliff ni kwa mkono Mdomo ya denge manze si ni lolo