We goin in na the mbogii tuko lit Na Machingiri kwa tumbler Kuzimix Msupa anataka number na ma pics Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46
Masaa ni mbaya tuko mbaya niko Ungwaro 46 Kuna rapper aliniseti nikashikwa na police Usoro me sitaki niko kwa cover ya magazine Nikibuy ndai soon itabidi imepigwa tint All my exes wanadai ni come through Bado me na father game kama Kagwe na Kahush FYI, Kila siku haifanani Leo tunaeza cheka cheka kesho siko in the mood, Na Nikidedi saa hii niko sure ntamake news Ju ma fan wananipenda na mahater bado few Na ukispot Nikey Ticks on the shoes Kuwa sure ni zenyewe,Cloth line coming soon,Ah Papa Fathela ,Wakiitisha Nawapea Na Kunatupa kwani buda ume dhefea? Black Monalisa , Melanin pia imeshika When I pull up to the spot hatutoki bila giza Kuna tothi aliuziwa nyong´inyo thao
You know we getting money niko ma washika dau Walisema no smoking tukai blaze nyuma ya ploti Sa nashinda nikihama ju ma landii ni wa nosy
We goin in na the mbogii tuko lit Na Machingiri kwa tumbler Kuzimix Msupa anataka number na ma pics Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46 We goin in na the mbogii tuko lit Na Machingiri kwa tumbler Kuzimix Msupa anataka number na ma pics Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46
Sio ma banger pekee yake me nawezesha na skill Ma shawtty wananipenda ka ule singer wa Billie Jean Top 5 ju sipendi number 6 Ni saa tisa asubuhi tuko jaba na ma gin
Bust a move, unaeza lean back kiasi Ma mba´nga washa ni spot nina mbichwa kwa shati Afisa manze pole,samahani But cell me silali sema tu utakula ngapi Me si fan wa man u ju sipendangi hio jersey Paper chase daily kila area niko ndani Ni Maombi ya mokoro ndio hunilinda Vile ma soshi huringa huwezi jua wanaogopa mimba Nina 100 niggas kwa payroll si streets We ulikuanga zoza buda tusha ku impeach Age unani double Skill naku tripple Curfew jo inaboh kuzidisha niko single Debe inachuna tuna lose, Control Shash kwa hii medulla niko high, Ozone Ka unakuja sleep over spray marash, cologne Na toka nikue ryma me hulike mamboch
We goin in na the mbogii tuko lit Na Machingiri kwa tumbler Kuzimix Msupa anataka number na ma pics Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46 We goin in na the mbogii tuko lit Na Machingiri kwa tumbler Kuzimix Msupa anataka number na ma pics Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46