Bazenga husonganga ki Donga Ka hufiki bei si important Maganji mkononi ka donda Saa hii bila mimi hio ngoma haita zoza
Beat ni ya Omollo, inagonga Sling ni ya Goro, Unatokwa Bado nawa washa, kidonda Ukishindwa kuwinda subiri mzoga
Ma drama,machocha vioja Ndio zimefanya Kenya kuna locust Ata Rap siku hizi joh ni bogus Ju flow ni hatari kwa pori umesota
Ikikuja Rap me ni Kobra Mamita nasaka sitachoka Me hubuy ndulla Gikomba Ndechu ,brandy na ata haijaoshwa
Ukitry test ni makosa Pongi ka inatupa imeoza Breeder uliacha Kuroga?
Ala!!Fuck You!!
Me bado ni kobra Sura ndio imejaa kwa ma poster Leta vodo yangu bila Chaser Shingo iko icy ka glacier Drip hadi plumber anateta
Msupa alikuchocha ako kesha Guess ako na nani kwa keja We unapiga simu iko mteja Bazenga dadii, Nai pepeta pepeta
Kunipata hadharani blunder Ganji kwanza, ndio nicheki idhaa nikipanda Ziki nyanya,Pepea ka silver surfer Nili apa,Heri nidedi niki tafutaa Niki taka, naeza diss kila rapper
Swiftly after, nika sip gin na tusker Piga starter, medi na steam ya jaba Tiki taka, Lligi biggy hii ni Barca
Eazi sana, eazi kama gugu gaga Taka taka, tusi wao me ni Ng´ang´a Haha haha, me huwacheka wao hubamaba Ni ma learner, wanataka kubishana Soma kwanza, pata degree na masters Nini sasa huwezi tema hizi stanza Mbuzi hapa, me nasaka greener pastures Chunga sana, utapata scar na fracture
Kunipata bila beret, no Bana, Verse zangu zote genje, yes Bana Man a giant on the low, no Burna Man a, man a giant on the low, no Burna
Last year, nilikua nimeparara Nikifika bash na Sahara Siku hizi step nimeng´ara Ma diva,ma cougar ma slay wanaholla Sijai dishi dondo nikahara KFC Chicken Inn, hio apana Warazi wanabaki na mapara Waititu juzi amegeuziwa Janta
Bazenga dadi jina biggie kwa hii mziki Na city to city nasambaza TK ka injili Nikihisi inatabidi nafika na mbogi na siringi Ntafika kwa Guiness ntavunja rekodi ka kijiti
Baraka ndio mingi hapa hakuna hizo ma irisi My nigga we winning,enough with the gimmicks, I mean it The minute, I´m in it, I´ma be a menace, I mean it
Fuck a critic, mean while I be paid for each lyric