đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đŸŽ€đŸ’ƒ

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Bright (AF)
Titre : Jela
Walisema nyota njema asubuhi
Naamka kwenda kazini
Kibaruani yeah, yeah...

Napiga magoti chini

Namuomba Mungu
Anipe changu cha halali yeah...

Sijui nitafika vipi?
Sijui nitapata kipi?
Mola ndo mgawa ridhiki
Na tupo wengi sijui yangu ni ipi?

Hivi kweli unaniona
Mbona natafuta bado sijaona
Ncha ya ugonjwa sijapona
Imani ninayo bila dawa sitopona

Au niende jela, mbona sielewi
Ninaunga tela
Nawaaga masela, maisha yamepanda bei
Mi naunga tela

Au niende jela, mbona sielewi
Ninaunga tela
Nawaaga masela, maisha yamepanda bei
Mi naunga tela

Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya

Ah, naona kama movie
Picha haliishi
Starring mbona hatari

Kwangu ni makuzi
Miaka inakwenda
Na midevu imenijaa hatari

Sina ugunduzi
Na gaagaa na upwa leo
Inanikataa bahari

Yeah....ooooh
Mgua shingo, mgua roho
Usaha umekaba kwenye koo
Juzi nimekula kiporo
Leo nimeshinda ngomaroo

Mgua shingo, mgua roho
Usaha umekaba niombapo
Panya katafuna godoro
Pesa imekula chochoro

Hivi kweli unaniona
Mbona natafuta bado sijaona
Ncha ya ugonjwa sijapona

Imani ninayo bila dawa sitopona

Au niende jela, mbona sielewi
Ninaunga tela
Nawaaga masela, maisha yamepanda bei
Mi naunga tela

Au niende jela, mbona sielewi
Ninaunga tela
Nawaaga masela, maisha yamepanda bei
Mi naunga tela

Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya
Ayayaya ma...ayayaya

Au nikale kwa foleni

Nizunguke yaani kama treni
(Nikirudi nina mahela)

Tumbo lilimponza tako jela
Manze tumbo lilimponza tako jela
Bear, I see you bro

(Lets take over the game)