Ulisema utanipenda mpaka mwisho Hutonikimbiaa yaaah Na hali yangu ni ngumu mahangaiko Utavumilia yaah Aah eeeh... Aaah eeh Aaah eeh, Mama oohh Aah eeeh... Aaah eeh Aaah eeh, Mama oohh
Mbona nayona mengi natamani Lakini natuliza moyooo Japo wanasema mengi majirani Napuuza naachana nayooo
Mwenye nacho anaongezewa (eeeh) Urefu wa kamba nasubiria Bila Imani utanikimbia mpenzi Kwa hii hali nachechemea
Shilingi yaua mume wangu Mlinzi nalinda pendo langu ( Japo kidogp ndo cha kwangu Mungu anajua kesho yangu
Aah eeeh... Aaah eeh Aaah eeh, Baba oohh
Aah eeeh... Aaah eeh Aaah eeh, Baba oohh
Nakupenda hivyo hivyo Baba Japa mambo ndivyo sivyo Baba Hata na mahangaiko hayaaa Ntakupenda mpaka kifo Baba
Aah eeeh... Aaah eeh Aaah eeh, Baba oohh Aah eeeh... Aaah eeh Aaah eeh, Baba oohh
Kazl nimefukuzwa Kibarua kimeota nyasi mamaa Joto lanifukuta Mfukoni sina hata hela ya ngama Nasikia mama mwenye nyumba nae
Anataka kodi yake Hivi kweli Mazonge yamepitilza Na sipati jibu lake saa nafeli
Aah eeeh... Aaah eeh Aaah eeh, Mama oohh Aah eeeh... Aaah eeh Aaah eeh, Mama oohh
Piga konde baba Kidogo ndo ujaza kibabaa Ridhiki mafungu saba Tunachopata tushukuru si haba Ukweli kusema nakupenda tu Sijari kwa hali iwe chini ama juu Wao kwa magari sisi kwa miguu Tule kachumbali miguu ya kuku (Huuu huuu)
Mkono mtupu haulambwi baby Utanipenda vipi Penzi tupu bila pesa halitambi Utanielewa vipi
Nimeamini kweli wee kipenda roho Na nyama mbichi imenikaba koo Tule kipolo (aaah eh) Giza totoro (yaa wee)